Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Tuesday, July 12, 2011

Dawa ya moto ni moto-34



Bosi alihisi kitu,…akawa hatulii mle ndani, alishangaa jinsi gani walivyowekwa pale  ndani ya chumba muda mrefu kiasi kile, akahisi kuna kitu. Aliwaza mengi kuhsu maisha yake ya baadaye, akawa mara kwa mara anamwangalia mkewe ili aone kama wataongea, lakini mkewe alikuwa hamwangalii kabisa, na ilivyoonekana alikuwa anaonekana kama takataka. Je ndio mwisho wa ndoa, au kuna nini tena, na kama ndio mwisho wa ndoa, na akzi je, kwani wao ndio waliomuajiri…? Hayo hayawezi kuingiliana ila chochote kinaweza kutokea, je atakuwa na maandalizi gani…hayo yatajiapa baaadaye, la muhimu kwasasa ni kuwaza kuhusu hawa jamaa zake, kwanini yeye wamtenge na kudai kuwa yeye hastahili kujulikana kwa sasa, eti kukaa mle ni moja ya kazi zake, …
Haiwezekani haya sasa ni mateso, lazima aongee na huyo anayeitwa kiongozi, ingawaje hakuwa na mzoea kabisa ya karibu ya kuongea naye, akawaza mengi zaidi kama akijulikana kuwa kajiunga na kundi haramu kama hilo itakuwaje, …mara huku ana kes na mkewe, mara huku anatafutwa na ….hapana huko inabidi niachane nako, kwani Napata faida gani, kuanzia leo sipo na wao….akaapa moyoni, na kusema, kwanza inatakia aanzie hapo kwa kujikosha kwa mkewe, inabidi afanye juhudu za kumwambi aukweli na kutubu dhambi zake…alipofik hapo akamtizama mkewe, akagonga meza ili kumshitua….
Mkewe akamwangalia kwa jicho la hasira, na kutizama saa yake, alikumbuka jinsi alivyokuwa kavalia toka nyumbani , akijua anaenda kwenye shughuli kubwa, kaumba anaenda kifungoni…akajitizama mavazi yake, na kutamani ayavue na kuyachanachana…haina maana kwake tena….halafu akaendeela kuinama pale mezani, akatikisa kichwa na baadaye akasema, `hivi huyu mtu ana maana gani …kunifanya hivi, mimi sio mfungwa, mimi…atanihusishaje na makosa ya wazazi wangu…hana akili huyu ….’ Akasimama akajitizama alivyopendeza, hata kama ni mnene, akamtizama Bosi kama anammwangalia,..alipomuona Bosi akimtizama kwa macho ya matamanio, halafu macho yao yalipokutana Bosi akaangalia pembeni, Maua naye akakunja uso na kurudi kukaa.
‘Mke wangu hawa watu ni wabaya sana, hata mimi najiuliza tuna kosa gani, …na nilikuwa nataka kukuomba kitu fulani , noamba uniwie radhi kwa matatizo mengi niliyokusababishia, unajua nimefikiria sana nikaona haina maana katika misha yangu, natakiwa kutulia na kudumisha ndoa yetu katika hali ya upendo….naomba sana unisamehe mke wangu, tuyaache yaliyopita tugange yajayo….’ Akainuka na kwena kupiga mgoti mbele ya mkewe. Mkewe alimwangalia kwa makini, na halafu akasimama, kama vile anataka kumwinua, akainua mguu na kumkanya mgongoni kwa nguvu, na kwasababau ya ule uzito wake, Bosi alijikuta akilala sakafuni…chali!.
‘Kwanini unanifanyia hivyo mke wangu…ninazungumza haya toka moyoni, najuta kwanini nilishawishika na watu wasio na faidia kwangu, sasa naanza kuona kuwa hawa watu wanafanya hili kwa faida yao, wanatumia udhaifu wa watu kujinufaisha…hili limenipa fundisho, naomba sana mke wangu,…nakupenda sana….na kuanzia leo nitakuwa nawe bega kwa bega…hilo nakuahidi na kama nikirudia kichwa change ni halali yako…’ akasema huku anamsogelea mke wake ambaye likuwa katizama nje.
 Hakugeuka , wala hakusema kitu, alikuwa katizama nje, akiwaza mengi, alimuwaza huyu mume wake wapi walipotoka na nini walichopata katika ndoa yao, inaonekana ndoa yao ilikuwa siku za mwanzoni tu, lakini baaadaye mambo yalianza kubadilika, akajiuliza nini chanzo, ni yeye au ni tamaa za huyu mume wake, na je afanyeje, aachane naye….akaiangalia mwili wake ulivyohumuka, na kujiuliza ni nani atampenda kwa mwili kama wake, amejiachaia na kuwa pande la mama….hapana, natakiwa kubadilika, nikitoka hapa naanza mazeozi, kidogo kidogo nitarejea katika mwili wangu, ama kwa huyu mwanaume natakiwa kumpima maneno yake, kwa leo simpi jibu lolote!
 Bosi alipoona kimiya akafyata mkia na kurudi kukaa pale alipokuwa kaka mwanzoni, aliiona mnyonge, alijiona kadhalilika, lakini akasema hiyo ndiyo asili ya mwanaume anampomtafuta mwanamke, inabidi ajishushe, inabidi anyenyekee, na mwisho atafanikiwa….sikati tamaa nitambembeleza mpaka atakubali turejeshe mapenzi yetu, nitakuwa namshawishi aende mazoezini mpaka mwili wake uwe katika umbile bora, maana mmmh, kazidi unene….akamwangali halafu akacheka, Kicheko hihi kilimfanya mkewe ageuke kumwangalia, halafu akamuuliz aunacheka nini, akamjia kwa hasira…
‘Nacheka nikiangalia tulipotoka, ulikuwa kasichana , ….unakumbuka ulivyokuwa awali, siamini ni wewqe sasa hivi pandikizi la mama…ndio nacheka kuwa kipindi kile nilikuwa mnene zaidi yako nakulinda usionewe, leo hii wewe ndio unanioena mimi…ama kweli dunia hii hakuna mtu mwembamba…nakuomba tena mke wangu, hilo sio kwamba litanifanay nipunguze mapenzi kwako, nakupenda toka moyoni,na tuanze kazi moja, kufanya mazoezi pamoja, tukianzaia hapo tutakuwa tnajenga fikira za pamoja…’ akasema na kuinuka kumfuata mke wake.
 Mke wake alismama vile vile hakumgusa wala kusema kitu, alimwacha mumewe amshike mkono na mara akamsogela na mara akamkumbatia, lakini hakusogeza mkono wake, alitulia kimiyaa…baadaye Bosi akaondoa mikono yake na kusimama pembeni huku kimoyoni akisema `najua keshanisamehe, kinachotakiwa na kuonyesha kuwa anampenda kwa dhati, na hilo atahakikisha analifanikisaha….
 Akaona abdili maongezi na kusema ‘Mke wangu hapa mimi sikai tena, naondoka…’ akasema Bosi lakini mkewe hakumjibu kitu, alikuwa ana mawazo yake mengine kuhusu baba yake, kwani kama  walivyoambiwa  na kuonyeshwa kuwa baba yake kafungwa chumba kingine kama mfungwa kama wao walivyofungwa hadi makubalionao yatakapofikiwa, vinginevyo watauliwa, eti kama walivyowaua wazazi wa huyo jamaa, yeye atahakikishaje kuwa wazazi wake walifanya hivyo, na hata hivyo kwanini hakushitaki mapaka anachukua hatua hiyo.
Alimuwaza baba yake, na jisi anavyompenda na hapo machozi yakaanza kumtoka, …alimjua baba yake alivyo mgonjwa kwa sasa anaweza akapandisha shinikizo la damu wakati wote, ana tatizola kisukari na yote hayo yanahitaji uangalizi wao…alishamjulia baba yake aishi vipi , ili asiwe katika hatari ya kupandisha shinikizo la damu, na muda gani ale na aina gani ya chakula…hili wamekuwa wakilifuatilia sana, …je humu ndani na muda wote waliokaa hapo baba yake atakuwa katika hali gani, alipowaza hili akaondoka pale alipokuwa kasimama na kuelekea mlangoni, halafu alipogundua kuwa mlango ulikuwa umefungwa akarudi na kumwangalia Maneno, huku akisema kimoyomoyo, ni mwanaume gani asiyeweza kupambana na mwanaume mwenzake, kazi yake umalaya tu…halafu akasema kwa hasira;
‘Hukai humu kwani nani kakuambia ukae, si huyo jamaa mwenye tabia kama zako ndiye katufungia hapa, wewe mwanaume kapambane na mwanaume mwenzako, unakaa huku kama …sijui nikuiteje, unachojua wewe ni umalaya..uhuni.. nenda sasa kamshawishi huyo jamaa atufungulie kwanza naona kichefu chefu kuongea na wewe, huna lolote la kusaidia, nawaza kuhusu baba yangu, nahisi atakuwa katika hali mbaya sana huko alikofungiwa…wewe uanleta hadithi za mapenzi ambazo huzijui….na kama lolote litatokea kwa baba nitahakikisha nalipiza kisasi kwa mikono yangu mwenyewe…kwake yeye na washirika wake’ akasema mke wa Bosi.
‘Kweli baba atakuwa katika hali mbaya sana nay ale matatizo yake, …naona tufanye juhudi tutoke hapa tukamuokoe, nitahakikisha anatoka salama….lakini si mpaka,… wewe unamjua huyu jamaa alivyo au unamsikia…ni balaa tupu, akiamua kaamua…’ akasema Bosi
‘Wewe unamjuaje…ulimjulia wapi huyo jamaa ..au ndio kundi moja…ole wako nigundua hilo, tutakula sahani moja, jicho kwa jicho…siunanifahamu, …hilo nakuhakikishia wewe na jamaa zako?’ akasema mkewe.
 Mara wakasikia kama sauti hivi, na Bosi akainuka pale kwenye kiti na kwenda mlangoni..aliujaribu kuufungua ule mlango, na akashangaa kuona unafunguka, …akamwangalai mkewe ambaye alikuwa kainuka haraka na kuja pale mlangoni…kabla hajamwambia kitu akawa kasukumwa pembeni na  kujikuta akiguna kwa ule msukumo. Mkewe akatoka haraka na kuanza kukagua vyumba kimoja baada ya kingine, huku katunisha misuli ya kuua mtu...
‘Inawezekana yupo chumba hiki hapa…’ akasema Bosi, na akajaribu kuufungua ule mlango na akajikuta kikohoa mfulululizo, na kuurudishia ule mlango haraka.., ile hali mle ndani haiingiliki kwani ndani kulikuwa na harufu ya gesi na chumba kilikuwa hakikaliki, hakuweza kuangali vizuri…akasema kimoyomoyo kuwa wazee hawo waliofungiwa mle ndani hawatakuwa hai tena, watakuwa wameshakufa….
                                              ********
  Turudi kule kwa akina Maua na Maneno, baada ya Maneno kufanya kazi ya ziada, ya kumzindua Maua, aliona matokeo mazuri kwani Maua alianza kuhema na mara akakohoa, na akawa anatetemeka kwa baridi, alimwangalia Maneno bila kuamini kuwa ni yule yule mume kwa mara nyingine tene anakuja kumuokoa katika sehemu ambayo alijua keshakufa…machozi yalimuanza kummiminika na akawa anaona aibu hata kumwangalia tena, aliishiwa na hata neno moja ambayo angelilitamka liwe saa na hicho alichotaka kumwambia mumewe ili ajisikie kuwa kweli ndivyo alivyojisikia.
‘Mume wangu, sijui nisemeje…nashindwa hata la kukuambia, mungu peke yake ndiye anayejua…nashukuru sana…’ akasema na kumng’ang’ania Meneno mpaka Maneno akaona sasa hiyo imezidi.
‘Haina shaka mke wangu hiyo ni kawaida kwa yoyote yule anayemjali mwenzake, ninachoweza kusema ni kuwa namshukuru sana mola kuwa kanivuta hadi nikaja wakati muafaka, wal sio uwezo wangu..ningelijuaje kuwa upo hapa …cha muhimu nikumshukuru mungu…jitahid tuondoke hapa kwani huyo aliyekufanyia hivyo anaweza akaja kukufuata…’ akasema Maneno.
‘Natamani aje nipambane naye, natamani aje nimuonyeshe kuwa yeye si lolote, mbona ananifungia kwenye chumba, wakati yeye kajificha, …’ akasema Maua kwa ujasiri mkubwa.
‘Hahaha, sasa unajiona mjasiri…mbona ulikuwa umelala pale bila kujijua…?’ akasema Maneno kwa mdhaha.
‘Ni kwasababu kanifungia chumbani, milango yote kafunga halafu yeye kajificha kwa mbali, kama yeye alikuwa jasiri kweli angelikuja tuonane uso kwa uso..lakini ni mwoga, msaliti mkubwa…ole wake nikikutana naye uso kwa uso…’ akasema Maua.
 Na mara wakati wanongea hivyo, wakasikia kwa mbele kama sauti ya mlipuko, …kama sauti ya bunduki na mara mlango ukifunguliwa na watu watatu wakatoka, wawili wakiwa wameshika bunduki fupi, …na mmoja akiwa hana silaha yoyote, …walitoha haraka huku wakiangalia mara kwa mara nyuma, na kukimbilia pale kwenye `lifti’ na wawili wakatangulia kuingia ndani ya lifti, na yule mmoja ambaye hakuwa na silaha, akapata nafasi ya kuangali kule waliopojificha Maneno ya Maua, na macho ya yule mtu yakakutana na ya Maua, na Maua akamtambua, hutaamini nguvu zilipatikana wapi, kwani Maua alijizoa zoa akainuka kueleeka kule, lakini yule mtu akawa keshaingia kwenye `lifti’ na ikaondoka.
‘Wewe mnyama wewe…ole wako ipo siku tutakutana uso kwa uso…mwoga mkubwa wee…kama unajiamini kwanini unakimbia…’ akasema Maua.
‘Wewe vipi, tumejificha hapa halafu aunajitambusliha hivyo, hivi wakairudi na zile silaha utaweza kupambana nao…waache waondoke, ipo siku watakutana na mikono ya sheria, katu uovu hauna maisha marefu…’ akasema Maua.
‘Na kweli uovu hauna maisha marefu..mwisho wao umefika,…’ sauti ilitoka nyuma na kuwafanya Maneno na Maua kugeuka haraka wakijua balaa jingine limekuja, …
`… msiwe na wasiwasi wanajisumbua bure huko wanakokimbilia watakutana na mkono wa sheri,ila la muhimu tuondokeni hapa haraka kwani kuna bomu wameliegesha hawa watu… na sasa imebakia muda mchache linaweza kuanza kuleta matatizo, ingawaje mtaalamu kasema, kuwa kuna njia kaigundua …unajua tena wataalamu wa mambo hayo…kaliwezesha kuchelewa zaidi, lakini haitasaidia kitu…kinachotakiwa na namba za siri…alizoziweka huyo jamaa…hazijulikani …wamejaribu na utaalamu wao wameshindwa kuzigundua…na uwezo wa hilo bomu kulipuka umeegeshewa kwenye mitambo ya komputa iliyopo humo ndani….’ Maneno na Maua walishukuru kwani walihisi ni kundi la hawo watu wabaya , kumbe ni Inspekta akiwa na Docta, wote wakiwa na haraka ya kukimbia nje!
‘Namba gani hizo za siri.zinazowashinda watalamu…haiwezekani isingekuwa hatari ningeenda kujiunga, tungezigundua tu…najua IT sana…!’ akasema Maua.
‘Nimewaambia hakuna muda wa kupoteza hapa kwa kuuliza maswali mengi…twendeni haraka…’ akasema Inspekta.
 Wakaaingia kwenye ile lifti na kabla haijaanza kupanda juu, mara Maneno akakumbuka kitu na kusema, ‘Sijui kama itasaidia lakini nakumbuka wakati nipo chini yule mmojawapo alisema namba hizi ` namba one three nine seven nine’
Inspekta aliposikia hivyo, hakuacha kuiwasha ile lifti na wakawa wanapanda kwenda juu, na wakati huo huo alichukua simu yake akaongea na wataalamu aliowaacha huko chini na kuwatajia hizo namba, na wakati huo walishafika juu na wakatoka nje ya lifti…aliwaambi wenzake wafanye haraka haraka wakimbilie nje,…kulikuwa kimiya, hutaamini kama uliwahi kufika hapo kabla kulivyokuwa na pilikapilika, leo kupo kimiyaaa  hakuna hata mtu mmoja pale ndani, kilichokuwa kikisikika na milio ya hatari kila kona na jengo…
‘Kiusalama tunatakiwa kuwa mbali ya hili jengo haraka iwezekanavyo, kwahiyo isitokee kishawishi cha kukusimamisha, hatujui nguvu ya hilo bomu ipoje, na kama mtaalamu alivyosema, hilo bomu linaweza likaleta athari kubwa eneo hili lote, kwahiyo kinachotakiwa ni kuhama hapa kabisa….’ Akasema Inspekta, na walipokuwa wanafungua mlango wa nje mara ghafla kukatulia kimiya, ile milio ya hatari ikasimama, na kulitanda ukimiya wa ajabu, na wote wakajikuta wamesimama kama vile wameamrishwa kusimama…
 Na mara wakagutushwa na sauti, ilikuwa milio ya bunduki zikilia upande ule wa muelekeo wa baharini, na mara tena kukawa kimiya …na mara simu ya Inspekta ikalia, na Inspekta aliipokea akiwa kajiandaa kwenda huko kunakotokea milio ya bunduki…na alijikuta akionyesha furaha usoni,na akanyosha mkono juu na kusema …`wamefanikiwa kuzima …wamfanikiwa,…Maneno namba zako zimesaidia, zilikuwa ndio namba za siri za lile bomu…sasa kuna amani,… ila bado maadui wapo, lolote linaweza kutokea, nyie tokeni nje kabisa ya eneohili, tokeni nje ye geti kama wenzenu…mnaona kulivyo kimiya watu wote wameondoka eneo hili kwa tahadhari, lakini kwasasa naomba mnisubiri huko nje,…Docta nashukuru sana, watu hawa wapo mikononi mwako, nafikiri wanahitaji msaada wako….ila nawaomba msiondoke tunawahitaji….’ Akasema Inspekta huku akieleeka kule kulikotokea milio ya bunduki…tayari kwa mapambano!

NB Tayari kwa mapambano, naishia hapo, nimeiandika hii asubuhi asubuhi...sina muda wa kuikagua najua itakuwa na makosa hapa na pale, lakini zege halilali...TUWEPO PAMOJA, naomba maoni yenu kwa wingi!

Ni mimi: emu-three

55 comments :

chib said...

Hakika wewe una kipaji cha hali ya juu, kama hii umeiandika asubuhi asubuhi...

emu-three said...

Hutaamini Chib, na alasiri hii nimepata nafasi na kuandika sehemu inayofuata, lakini siwezi kuiweka hivi sasa, ...kwasababu nimeiandika kwenye `tension'...kwa kujiiba-iba sio kama hiyo ya asubuhi, niliwahi saa moja nikawa nipo peke yanguu , kwahiyo niliiandika nikiwa nimetulia, ingawaje nimegundua kuna makosa machache...hii niliyoiandika alsiri hii itakuwa na makosa mengi..tusubiri kesho, ...au mwasemaje?
Shukurani Mkuu Chib, tupo pamoja, karibu sana

samira said...

m3 usijali inafahamika vizuri kwa mfatiliaji wa kisa hiki hawezi kubabaika
tupo pamoja
mambo yamenoga

emuthree said...

Samira mambo yamenoga, lakini nasikitika kuwa ndio utamu unaishilia, ...siunajua tena wahusika karibu wote wamekutana nini kimebaki tena, kama sio kumalizia...TUWEPO Samira mpendwa!

ERNEST B. MAKULILO said...

Emu-Three,

Nimekuandikia e-mail kwanza kukupongeza kwa kazi nzuri sana, na kipaji kikubwa ulichonacho. Na pia kukupa ushauri zaidi.

Mungu azidi kukupa hekima zaidi

MAKULILO
California

Anonymous said...

MZEE HONGERA SANA UNATISHA MKUU!!!!

2po pamoja. Ndio nasoma leo network nayo inakorofisha.

BN

emuthree said...

Ndio E.B Makulilo, nashukuru kwa kuwa na blog hii mara nyingi, na nashukuru sana kwa ushauri wako, nami nitajitahidi kuufanyia kazi, ingawaje kama ujuavyo bongo yetu hii, wengine wanasema ni `tambarare' lakini ni tambarare yenye mavumbi, kama hujui kujifuta vumbi machoni huwezi kuona mbele.
Kuna vikwazo vingi unapojaribu kufanya jambo, hiyo ni kawaida, ila hapa bongo, vimezidi, hasa watu wanapoona kuwa unatafuta kitu chenye faida, ile `kwanini' inakukatisha tamaa...wanakukatisha tamaa, kwa kukuambia kazi yako...`haifai'...ina makosa...nk
Lakini siwezi kukata tamaa kwa hilo, ilimradi kazi hizo zipo, ni swala la kufanya juhudi ya ziada, ...`kufuta vumbi'
Nashukuru sana, tutawasiliana kwa e-mail zaidi.

emu-three said...

BN, Tupo pamoja, pole sana ni `mitandao' sio kwako tu, hata huku, siunajua tena maisha yetu kuwa kila kitu hapa bongo `utakipata kwa shida'
Mimi mwenyewe leo nilitaka nifunge kazi kwenye hiki kisa chetu , lakini mambo hayajawa safi...kila ukiwekeza inasema `mtandao una matatizo...' lakini mambo yapo tayari, nilishaandika jana, ni kiasi cha kubandika hewani. TUPO PAMOJA!

Faith S Hilary said...

Full drama ingekuwa movie basi bonge la action hahaha! Kama kawa tupo pamoja kaka macho hayabanduki hapa...hao maadui wataishia wapi...pia hao "mababa" wameishia wapi...mmh

Simon Kitururu said...

@Candy1: Usishangae likageuka Movie hili stori siku moja!

@M3 : Tupo na naona wahusika wamekutana!Nasubiria tu kipengele kijacho!

Anonymous said...

Jamani natamani ingekuwa movie au kitabu ili usome hadi ulale nacho au uangalie halafu unajitahidi kufumga macho ili usione kinachofuata halafu huku unaangalia ili isipitwe na kinachoendelea katika movie heheheheheheheh!!!!!!!!!!!!!!

Hadi raha!!!!!!!!!!!!!!!!!

Toa kitabu kaka au tengeneza movie ndugu yangu!!!!!!!!!!!!

emuthree said...

Hamu yangu kubwa ni kuwa mtunzi wa vitabu na hatua ya kwanza nimeshaimaliza ambayo ilikuwa kutayarisha mswada au dondoo ambayo ndio hizo mnazosoma,hatua ya pili ni kukusanya hii miswaada na kuijazia minofu na kuihariri baada ya hapo ni kumtafuta mchapishaji hapo ndio kazi hasa kwa nchi yetu hii. Naombeni kama kuna mtu anajua taratibu za kuchapa kitabu tuwasiliane kwa e-mail na hatua ya kwanza nimeshaimaliza ambayo ilikuwa kutayarisha mswada au dondoo ambayo ndio hizo mnazosoma,hatua ya pili ni kukusanya hii miswaada na kuijazia minofu na kuihariri baada ya hapo ni kumtafuta mchapishaji hapo ndio kazi hasa kwa nchi yetu hii. Naombeni kama kuna mtu anajua taratibu za kuchapa kitabu tuwasiliane kwa e-mail

Anonymous said...

Νormally I do not leаrn aгticle on blogs, but I
would like tο ѕау that this wгіte-up
ѵery compellеd me tο try and do so!
Yοuг ωriting taste has been ѕurprised mе.
Τhanκ yοu, quite nicе ρoѕt.



Herе is my ωeb ѕite zulutrade Opinion
Also visit my web-site

Anonymous said...

Hey there! Тhiѕ is my first ѵisit tο
youг blog! We arе a team of voluntееrs anԁ starting a neω рroϳect in a community in the ѕаme niсhe.
Yоuг blog proνіded us valuаble іnformatіоn tο woгk on.
You have done а marѵеllоus job!


Mу web site :: samsung galaxy note 2
Also visit my web blog ::

Anonymous said...

Wow that was οԁd. I juѕt wrote an really long сomment but аfter I clicκed submit my сomment didn't appear. Grrrr... well I'm
not writing аll that over agаіn.
Αnywаys, just wаnteԁ to ѕay excellent blоg!


Feеl free to surf to my page www americanexpress.com.au
My webpage - samsung galaxy note 2

Anonymous said...

An оutstanding share! I haνe just forwardeԁ this оntο a coworker who was doing a little homeworκ οn this.

Αnd hе in fact bought me ԁinner because I stumbled upon it fοг him.
.. lol. So let mе rewoгd this.... Thanκ YΟU for the meal!

! But yeah, thanx for spеnding the time to talk about this topic herе on youг website.


Havе a loοk аt my web blog ... pikavippis.net
Check out my page ;

Anonymous said...

An outstanding share! I hаѵе just forwarԁed this ontо a
coworkег who was doing a little homework on this.
And he in fact bought mе ԁіnnеr because I stumbled upon it for him.
.. lol. So let me гewοrd this...
. Thank ҮOU foг the meаl!! Βut yeаh,
thanx for spending the timе to talκ about this topic
heге on yοur ωebѕite.


Here is my web site - pikavippis.net
My web page -

Anonymous said...

Hellο! ӏ'm at work surfing around your blog from my new apple iphone! Just wanted to say I love reading through your blog and look forward to all your posts! Keep up the fantastic work!

My web page vapornine
Also visit my site

Anonymous said...

Prettу greаt poѕt. I simply stumbled upon your wеblog and wantеd to say that I have tгuly enjoyeԁ browѕing your
blog poѕts. Аfter аll I'll be subscribing to your feed and I am hoping you write once more soon!

My web page :: vapornine
Also see my web page >

Anonymous said...

We агe a grouρ of volunteeгs anԁ оpеning
a new schemе in our community. Your ѕite offered us with vаluable infο tο worκ
οn. Υou havе done an imρresѕive job
and our entire communіtу ωill bе thankful to you.


Ηere is mу blog post :: http://galaxys3.fr/
My website

Anonymous said...

What's up friends, how is all, and what you would like to say concerning this paragraph, in my view its truly awesome for me.

Here is my website ::
My site:

Anonymous said...

Βecause the admin of thiѕ web ρagе is working,
nο hesitаtіon νеry гapidly it wіll be ωеll-κnoωn, ԁue tо іtѕ quality contеnts.


Viѕit my blog post Www.adbon.Net
Feel free to visit my website -

Anonymous said...

I ԁelight in, result in I found just ωhat I uѕed to be taking а loοk for.
Yοu've ended my four day lengthy hunt! God Bless you man. Have a great day. Bye

My web blog - instagram folowers
Stop by my webpage :: add twitter followers

Anonymous said...

Greetings! I knοw this is ѕomеwhat off
topic but I ωaѕ wondering which blog ρlatfoгm are уou uѕing
fоr this wеbѕite? ӏ'm getting tired of Wordpress because I'ѵе haԁ problemѕ with hасkеrѕ and I'm looking at options for another platform. I would be fantastic if you could point me in the direction of a good platform.

Feel free to surf to my website - http://best-retweet.com
Feel free to visit my web site companies using twitter for marketing

Anonymous said...

I'd like to thank you for the efforts you'vе put іn ωrіting this blog.
I really hοpe to νiew the samе high-graԁе blоg poѕtѕ by yοu later on as well.
In truth, yоur creative writіng abilіties has motivated me to
get my oωn sіtе now ;)

Here iѕ my blog - particulier à particulier loue camion
Check out my homepage location longue dur裠pour particulier luxe

Anonymous said...

Hі, i believe that і notiсed you vіsiteԁ mу ѕіte
thus i came to go bacκ thе desiгe?
.Ι am attemptіng tо find things to improve my ωеb site!
I asѕumе іts adequаte to usе somе of уour
ideas!!

Alѕο νiѕit mу weblоg - ngw
Review my weblog : hjq

Anonymous said...

Hі, i геad your blοg ocсаsionally and і own a
ѕimilаr оne and i ωas juѕt wonԁеring if you get а lot
οf spam feedback? If so how do you pгotect аgаinѕt it, any ρlugin οr anything уοu can аdvise?

I get so much lаtely it's driving me insane so any assistance is very much appreciated.

Have a look at my blog post - http://www.gilbergfoto.com/bloggsoftware/
Check out my weblog ; tpk

Anonymous said...

Ι'm really loving the theme/design of your web site. Do you ever run into any web browser compatibility problems? A few of my blog visitors have complained about my blog not working correctly in Explorer but looks great in Safari. Do you have any suggestions to help fix this problem?

Feel free to visit my page mlm
Feel free to surf my blog pjq

Anonymous said...

Thank you fог the goοd wrіteuρ.
It іn fact was a amuѕement аccount іt.

Look advanced to mοrе adԁеd agreeable from уou!
However, hоw саn we communicаtе?


Feеl frеe to νisit mу ѕіte: how can i get twitter followers
Also see my website > pinterest pin url

Anonymous said...

Іnspiring story therе. What occurred aftеr?
Тake care!

Here is my web blog: twitter followers for free
My web page > how do i get followers on pinterest

Anonymous said...

You could definitely see your enthusiasm in the work
you write. The arena hopes for even more passionate writers such as you
who aren't afraid to mention how they believe. Always follow your heart.

Feel free to visit my weblog ... qci
My website xwx

Anonymous said...

Pretty nice post. I just stumbled upon your blog and wished to say that I have
really enjoyed surfing around your blog posts.

In any case I will be subscribing to your rss feed and I hope
you write again very soon!

Feel free to surf to my site - yhn
My web blog ... hqt

Anonymous said...

Hi, always i used to check website posts here early in
the morning, as i like to learn more and more.

Look into my webpage: more followers in instagram
My site > instagram buy followers

Anonymous said...

Hi, i feel that i saw you visited my web site so i came to go back the choose?
.I am trying to to find issues to enhance my web site!I suppose its good enough to make use of
some of your concepts!!

My weblog ... surplus city

Anonymous said...

I enjoy reading a post that will make men and women think.
Also, thank you for allowing me to comment!

My blog: raleigh detour
My web page > randy blue west palm beach

Anonymous said...

If you are going for best contents like myself, simply visit this web site everyday as it presents quality
contents, thanks

Here is my web page - the journal news obituaries

Anonymous said...

Good day I am so grateful I found your weblog, I really found you by error, while I was researching on
Digg for something else, Anyhow I am here now and would
just like to say kudos for a remarkable post and
a all round interesting blog (I also love the theme/design), I don't have time to read through it all at the minute but I have book-marked it and also added in your RSS feeds, so when I have time I will be back to read more, Please do keep up the awesome job.

my web page aaa fx

Anonymous said...

With havin so much content and articles do you ever run into
any issues of plagorism or copyright infringement?
My site has a lot of unique content I've either authored myself or outsourced but it appears a lot of it is popping it up all over the web without my permission. Do you know any methods to help stop content from being ripped off? I'd
certainly appreciate it.

Feel free to visit my web page :: aaafx.webnode.com

Anonymous said...

Heya i am for the primary time here. I came across this
board and I to find It truly helpful & it helped me out much.
I hope to give something again and help others like you helped me.


Here is my page; angelfire.com

Anonymous said...

I blog often and I genuinely appreciate your information.
This great article has really peaked my interest.

I will book mark your website and keep checking for new
details about once per week. I opted in for your
RSS feed too.

My website: ava fx

Anonymous said...

Wow, fantastic blog layout! How long have you been blogging for?

you make blogging look easy. The overall look of your
site is fantastic, as well as the content!


My site design a happy birthday card for social media
my web site :: give you over 500+ sexy facebook pics

Anonymous said...

Please let me know if you're looking for a writer for your blog. You have some really great posts and I believe I would be a good asset. If you ever want to take some of the load off, I'd
absolutely love to write some material for your blog in exchange for
a link back to mine. Please send me an e-mail if interested.
Thanks!

My web-site - avafxa.tumblr.com

Anonymous said...

Hi there it's me, I am also visiting this web page regularly, this web site is actually fastidious and the people are genuinely sharing pleasant thoughts.

Feel free to visit my web-site - aaafx.livejournal.com
My web page: aaa fx

Anonymous said...

Thanks for sharing your info. I really appreciate your efforts and I will be waiting for your further write ups thanks once again.


Look into my weblog: ava fx
Also see my website: ava fx

Anonymous said...

Hi there just wanted to give you a brief heads up and let
you know a few of the pictures aren't loading properly. I'm not sure why but I think
its a linking issue. I've tried it in two different internet browsers and both show the same outcome.

Here is my web site - zulutradezulutrade.jux.com

Anonymous said...

I have read so many content on the topic of the blogger lovers but this paragraph
is actually a pleasant article, keep it up.

Feel free to visit my web blog :: breast actives ingredients best breast augmentation

Anonymous said...

What's up i am kavin, its my first occasion to commenting anyplace, when i read this post i thought i could also create comment due to this brilliant article.

Feel free to surf to my website - awebsiteguestbook

Anonymous said...

We won be going to help because again, we too far way. That, and there a reason the ship is called a "Destroyer" and not something else we just not well equipped to do the sorts of things Japan will need. The Navy has ships staioned in Japan that are much closer and better equipped and who are either already there or on thier way..
3. Riotous prints and vibrant florals Dolce Gabbana Spring 2013 collection has some crazy prints and a bold vibrant colors and Phillip Lim updated his wildly popular Pashli satchel in beautiful floral print. For less expensive alternatives try this colorful floral bag from Tory Burch or cheery poppy printed small purse for Coach for just $48 [url=http://www.outletcheapmichaelkors.com/]cheap michael kors handbags[/url] How to wear them
It really is immediately free within checking out the AJ2011 which usually we've got sure factor such as Hippo Art print 2K11 at all of our control these with all the streaky nearly zebralike archetype writ . llowing polished rising a wall it has been at present presupposed to goal down.[/p [p Efficiently, I'd been appalled having 99% involved with a few things i uncovered . Primary, band indistinctly with regard to heightened ankle joint help support .
"Because people have discovered we live on a place called Earth, they start to care and want something sustainable," said Houston, who owns nine Freitag bags himself. "When you buy quality stuff, it's already sustainable. When you buy crap, it's next month's landfill." Products like Freitag, he says, are "next millennium's landfill.". [url=http://www.outletcheapmichaelkors.com/]mk handbags outlet[/url] One can game while one welds or surfs the internet. You'll never have to worry any longer about the whine of case fans or HDD chatter over the welder.
The picture Pita was painting was that this gentle 'mussing' had occurred spontaneously, having been stirred by the wind during a drive in a convertible Ford Mustang. The reality was that a lot of work went into creating that spontaneity. Some key designers have outlet retailers out there or specific gross sales that get site at specified times while in the year.
[url=http://www.outletcheapmichaelkors.com/]mk outlet[/url] 'Runway's' Flashy Fashions Don't Mean Fame

Anonymous said...

I really like it when individuals get together and share ideas.
Great blog, stick with it!

my blog: listen to this podcast

Anonymous said...

I was wondering if you ever thought of changing the structure of your site?

Its very well written; I love what youve got to say. But maybe you could a little more in the way of content so people could connect with it
better. Youve got an awful lot of text for only having
1 or two pictures. Maybe you could space it out better?



Here is my web page - paid surveys (http://paidsurveysb.tripod.com)

Anonymous said...

This is a topic that's near to my heart...
Many thanks! Where are your contact details though?

My page; minecraft games download

Anonymous said...

Hey there! Do you know if they make any plugins to safeguard against hackers?
I'm kinda paranoid about losing everything I've worked hard on. Any suggestions?


Also visit my weblog - Minecraft.Net

Anonymous said...

What's Happening i'm new to this, I stumbled upon thios I've discovered It
absolutely helpful and it has aided me out loads. I hope to give a contribution & aid
other customers like its helped me. Great job.

Anonymous said...

Wow, wonderful blog structure! How lengthy have you ever been running a
blog for? you made blogging look easy. The whole look of your web site iis great, let alone the content!

UMJ Islami said...

i am very intersted in the information contained in this post.
Visit UMJ Islami