Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeFriday, June 24, 2011

Nawakilisha taarifa hii- MissMorogoro 2011

Ndugu wapenzi wa blog hii, nashukuru leo sijambo na nimetumiwa hii kutoka kwa mdau mmoja, nikaona niiwakilishe kama ilivyotumwa.

Ndugu muhariri pole na changamoto,,,,,,,,,,,,

Naitwa Soul Makini, Wakala wa Miss Tanzania ngazi ya mikoa na Mratibu wa mashindano ya urembo mkoa wa Morogoro (Miss Morogoro 2011). Kwa niaba ya FG ARTS PROMOTION AND ENTERTAINMENT naomba nitume kwako taarifa ya mchakato mzima wa kumtafuta muwakilishi wa mkoa wa Morogoro kwenye sekta ya "ulimbwende" mwaka 2011.
Tarehe 01 / 07 / 2011, katika hoteli ya Morogoro Hotel, warembo 15 watapanda jukwaani kuwania taji la Miss Morogoro 2011. Shindano litaanza saa mbili usiku hadi saa sita likishindikizwa na burudani kabambe toka kwa timu nzima ya Tip Top Connection, pamoja na vibwagizo babukubwa toka kwa msanii Wanne Star.
Kiingilio kitakua 10,000 Tsh kwa mtu mmoja.


Picha

PIC _1: WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAKUFUNZI WAO, MRATIBU, MKURUGENZI WA FG ARTS PROMOTION, NA WAWAKILISHI WA WADHAMI WAO. AMBAO NI REDDS NA VODACOM TANZANIA
.
PIC_2: WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 KWENYE PICHA YA PAMOJA WAKIPATIWA ELIMU YA MAZINGIRA KUFUATIA KAULI MBIU YA SHINDANO HILO MWAKA HUU, AMBAYO NI “BETTER ENVIROMENT TODAY” (BET).

PIC_3: WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 REHEME MARWA (KUSHOTO) NA SHARIFA ISSA (KULIA).

PIC_4: WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 SALMA KUYELA (KUSHOTO) NA ASHA SALEH (KULIA).

PIC_5: WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 TOKA KUSHOTO NI NAJMA ALLY, SALMA S. KUYELA NA BERTHALIUS USIRI.

PIC_6: WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 TOKA KUSHOTO NI 
AGNESS ROISER, PENDO DANIEL NA HASNAT KHAMIS.

PIC_7: MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 ASHA SALEH AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.

PIC_8: MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 BERTHALIUS USIRI AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE
.
PIC_9: MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 SHARIFA ISSA AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.

PIC_10: MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 REHEMA MARWA AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.

PIC_11: MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 RUBY JOSEPH AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.

PIC_12: WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 KWENYE PICHA YA PAMOJA WAKIPATIWA ELIMU YA MAZINGIRA KUFUATIA KAULI MBIU YA SHINDANO HILO MWAKA HUU, AMBAYO NI “BETTER ENVIROMENT TODAY” (BET).

PIC_13: BAADHI YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 WAKIPATA KIFUNGUA KINYWA KAMBINI MWAO KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE MOROGORO.

PIC_14: MREMBO JACKLYN KITINKA AKIWA NA WASHIRIKI WENZIWE KWENYE CHAKULA CHA JIONI KAMBINI MWAO KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE MOROGORO.

PIC_15: BAADHI YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 WAKIPATA CHAKULA CHA JIONI KAMBINI MWAO KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE MOROGORO.


Ni mimi: emu-three
Enhanced by Zemanta

1 comment :

Anonymous said...

Hi I am so thrilled I found your blog page, I really found
you by error, while I was looking on Yahoo for something else, Anyhow I am here now and would just like to say kudos for a tremendous
post and a all round thrilling blog (I also love the theme/design), I don't have time to read it all at the minute but I have bookmarked it and also included your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a lot more, Please do keep up the excellent work.
Also see my web page :: click here